
Tunachanganya utaalamu wa Dr Taz na dawa za asili kukupa huduma kamili ya afya.
Tathmini ya awali ya matatizo yako ya kiafya na ushauri wa dawa za asili zinazofaa kwako.
Mipango maalum ya matibabu kwa kutumia dawa za asili, ikifuatiliwa hatua kwa hatua.
Huduma za asili zinazohusiana na uzazi, ujauzito na afya ya mfumo wa uzazi.
Huduma ya faragha zaidi kwa wateja wanaohitaji ushauri na matibabu nyumbani.
Tunafuatilia maendeleo yako baada ya kuanza matibabu ili kuhakikisha matokeo bora.
Uliza maswali na pata ushauri wa awali moja kwa moja kupitia WhatsApp.